Habari kwa Kiswahili

Web Icon ContactContacts

Iwapo unahitaji mkalimani, piga simu kwa Huduma ya Tafsiri na Ukalimani (TIS Taifa) kwa nambari 13 14 50 na uwaambie wapigie simu Tume ya Uchaguzi SA kwa nambari 1300 655 232. Saa zetu za ufunguzi ni kuanzia 9:00 hadi 17:00 (CST) kutoka. Jumatatu hadi Ijumaa.